Kimeumana Chelsea! Enzo Fernandez apigwa ‘pini’, Cucurella matatani Chelsea imeingia katika kipindi cha misukosuko baada ya kiungo wake tegemeo, Enzo Fernandez kupewa adhabu kali kutokana na matamshi yake yaliyoashiria kutaka kuondoka klabuni hapo na kujiunga na...
De Zerbi: Nipo tayari kushuka na Spurs KOCHA mpya wa Tottenham Hotspur, Roberto De Zerbi amesema yuko tayari kubaki na klabu hiyo msimu ujao hata kama itashuka daraja mwishoni mwa msimu huu.
Mtoto wa Mjini - 15 Usifanye mchezo na damu ya mswahili, baada ya miezi mitano ya kuwa na uhusiano kati yake na Muddy, Linnie alipatwa na mabadiliko makubwa ya mwili. Hali yake ilibadilika na kuonekana kunawiri na...
Kocha Mzee Chipukizi afichua siri, ataja usajili dirisha dogo KOCHA Msaidizi wa Chipukizi inayoshiriki Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) kutokea kisiwani Pemba, Mzee Ali Abdallah amesema kwa usajili waliofanya dirisha dogo mismu huu wameanza vizuri mzunguko wa pili...
KVZ Kuanzisha Timu ya Kikapu ya Wanaume MKUU wa Kikosi cha Valantia Zanzibar (KVZ), Said Shamhuna amesema baada ya kuona timu ya wanawake inafanya vizuri kwa kuchukua ubingwa mara kwa mara, wamevutiwa na kuhitaji kutoa fursa hiyo kwa...
Vita ya kupanda daraja Zanzibar, Raskazone yaipumulia Black Sailor LICHA ya Raskazone inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja kupata ushindi wa 2-1 dhidi ya Sharpboys, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Haji Kombo Haji amelia na baadhi ya wachezaji kuchelewa...
Mkenya afichua jambo Ligi Kuu Bara MSHAMBULIAJI wa Pamba Jiji, Mkenya Mathew Momanyi Tegisi, amesema kwa kipindi cha mwaka mmoja alichocheza Ligi Kuu Bara, ameona ushindani mkubwa katika maeneo mbalimbali, ikiwemo pia ndani ya...
FIFA yapandisha bei ya tiketi Kombe la Dunia 2026 SHIRIKISHO la Soka Duniani, FIFA, limeongeza bei ya juu ya tiketi za fainali ya Kombe la Dunia 2026 hadi Dola 10,990 (zaidi ya Sh27 milioni za Kitanzania), hatua iliyokuja wakati wa kufunguliwa...